
Rais wa Uturuki ametangaza kwamba ligi zote za soka nchini humo kwasasa zizimamishwe.Hii ni baada ya kutokea tukio la kihuni kufanyika katika mechi ya ligi kuu kati ya Ankaragucu na Rizespor mechi ambayo ilishuhudia mwamuzi wa mchezo huo Halil Umut akicheza kichapo kikali kwa kupigwa ngumi na mateke usoni baada ya mchezo.