Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Dudu baya afunguka kuhusu kudaiwa kuokoka kwa Mwamposa

Siku ya leo @el_mando_tz amekutana na DUDU BAYA na kuongea machache kuhusu taarifa za kuokoka kwake. Ameeleza mengi sana Dudu Baya lakini pia majibu aliyopewa na Mtumishi Mwamposa baada ya kufika Kanisani kwake.

@dudubaya_mamba_oilchafu leo akipiga Stori na @el_mando_tz wamelizungumzia tukio la @hajismanara kutaka kumsaidia official_chidibeenz @dudubaya_mamba_oilchafu anasema kuwa kwa upande wake ameona @hajismanara amemdhalilisha official_chidibeenz

Unakubaliana na @dudubaya_mamba_oilchafu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents