Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari
Dudu baya adai Manara amemdhalilisha Chid Benz, kwanini apost??

Siku ya leo @el_mando_tz amekutana na DUDU BAYA na kuongea machache kuhusu taarifa za kuokoka kwake. Ameeleza mengi sana Dudu Baya lakini pia majibu aliyopewa na Mtumishi Mwamposa baada ya kufika Kanisani kwake.
@dudubaya_mamba_oilchafu leo akipiga Stori na @el_mando_tz wamelizungumzia tukio la @hajismanara kutaka kumsaidia official_chidibeenz @dudubaya_mamba_oilchafu anasema kuwa kwa upande wake ameona @hajismanara amemdhalilisha official_chidibeenz
Unakubaliana na @dudubaya_mamba_oilchafu