HabariMichezo

VIDEO; Wanaume wanaotongozwa sana na wanawake ni wachezaji mpira- Aggy Simba

Wachezaji Mpira ndiyo kundi la Wanaume ‘Linalotongozwa’ zaidi na Wanawake.

@aggysimbasportsclub afunguka mazito kuhusu maisha yake bila kusahau timu aipendayo #SimbaSC

“Wanaume wanaofuatwa sana na kutongozwa sana ni Wachezaji Mpira, kama wangeweza kuzungumza wakasema, basi wangesema namna wanavyotongozwa na Wanawake,”- @aggysimbasportsclub

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents