Habari

Kontawa aachia ‘Sikuachi’ akiwa na Maua Sama baada ya kufavya vizuri na Champion (Video)

 

Hit maker wa Champion @kontawaa wiki hii ameachia wimbo wake mpya ‘Sikuachi’ akiwa na mkali @mauasama .

Project hii imekuja ikiwa ni miezi michache toka rapa huyo aachie original Champion akiwa na Nay wa Mitego na kufanya vizuri sana.

Baada ya mafanikio ya project hiyo Rais wa Konde Gang @harmonize_tz na yeye aliupenda wimbo huo na kufanya remix ya pamoja ambayo nayo ilifanya vizuri.

Maswali mengi yakaja baada ya mafanikio ya project hiyo nini kitakuja, wiki hii rapa huyo ameendelea moto kwa kuachia project ambayo ina hadhi ya Champion, iitwayo ‘Sikuachi’.

Je mashabiki wataipokeaje? .

Written by @yasiningitu

Cc @rojalife_kinoge

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents