Burudani

Kutana na msanii ambaye alisimamishwa shule kisa Mr Blue (Video)

Msanii mchanga ambaye ni shabiki kindaki ndaki wa rapa Mr Blue, Uncle B amefunguka kuzungumzia namna alivyosimamishwa shule kutokana na kuonyesha wazi kwamba anampenda rapa, Mr Blue. Rapa huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo, ‘Sitaki Unitag’ambao amemshirikisha Mr Blue na Dullayo, amesema kupata nafasi ya kufanya kolabo na rapa huyo ni kitu kikubwa sana kwenye maisha yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents