Habari

Kwa mujibu wa taratibu za kijeshi mizinga 21 kupigwa wakati wa mazishi ya hayati Benjamin Mkapa (+Video)

Kwa mujibu wa taratibu za kijeshi, baada ya mwili kushushwa kaburini na taratibu za kidini kukamilika, itapigwa mizinga 21 ikiwa ni ishara ya heshima kwa marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu Benjamin William Mkapa.

https://www.youtube.com/watch?v=ESjB-wluMLo

https://www.youtube.com/watch?v=6zJ9ysMocJg

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents