Lady JayDee: Nilikuwa nashindana kuimba redioni ili nipate nafasi ya kurekodi na Master Jay (+ Video)

Bongo5TV imefanya mahojiano na mkongwe wa muziki nchini @jidejaydee ambaye amefunguka mengi kuhusu kazi zake na ujio mpya wa album yake inayofahamika kwa jina la #20 ambayo anatarajia kuizindua tarehe 12 february 2021.

 

Related Articles

Back to top button
Close