Burudani

Lamar: Kimya changu hakimaanishi nimeishiwa ubunifu

Mtayarishaji wa muziki Lamar, ameweka wazi kuwa hajaishiwa ubunifu katika utayarishaji wa muziki lakini amefanya kazi nyingi za wasanii ambao hawataki kuziachia hali inayochangia aonekane kuwa kimya.

Lamar

Kazi zake pekee zinazosikika hivi karibuni ni zile za kurudia nyimbo na kuzitengeneza katika mahadhi ya house, Refix.

“Siku zote mimi niko tofauti, ujue watu hawaelewi mimi narekodi nyimbo lakini sina mamlaka ya ku-release wimbo wa msanii mpaka artist mwenyewe akubali ndio maana naonekana nipo kimya,” amesema Lamar.

“Lakini tracks narekodi kama kawaida na zipo bado kwenye library mpaka msanii mwenyewe awe tayari kuirelease ndio naziachia na utazisikia katika redio ndio hapo utajua kuwa mimi nimefanya kazi.”

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents