HabariMichezo

Ligi imechanganya, Mechi kali za funga mwaka 2022 zenye Odds kubwa na Machaguo Kibao Meridianbet

Ligi nyingi zimerejea na mzuka wa kutosha mtu wangu, ni EPL, La Liga na Ligue 1 huku zikisindikizwa na michezo mingi yakirafiki yenye kuvutia na kusindikiza furaha yako, Meridianbetwameliona hilo na kutoa odds kubwa na bombaa, bila kusahaumachaguo mengi ya kufungia mwaka 2022 na kufungua mwaka2023.

Unafungaje mwaka 2022 na Meridianbet?

Ni rahisi sana wala usisumbuke kuumiza kichwa chako, ukiichagua Meridianbet ni umechagua ushindi tu, kwanini nakwambia hivyo ni kwa sababu kila mechi kunaODDS kubwa sana na machaguo ni mengi na rahisi Zaidi yenye uhakika wa kukupa ushindi kwenye mkeka wako.

 

Leo Ijumaa pale EPL kitapigwa mechi mbili ni Liverpool vs Leicester ambapo kila timu inazitaka alama tatu, nanikung’ara leo, Nunez, Salah, Trent ama Jamie Vardy, Kelechi Iheanacho au ni Denis Prayet? BashiriMeridianbet ufunge mwaka kibabe. Pia West Ham watawakaribisha wazee wa nyuki Brentford 2.06 kwaWest Ham ashinde huku 3.57 kwa Brentford ashinde.

 

Real Valladolid hawatakuwa na kazi ndogo leowatakapokuwa wanakipiga dhidi ya Real Madrid ambaowapo nafasi ya pili kwenye msimamo na alama 35 nyumaya Barcelona watahitaji kushinda ili waongoze Ligi je itawezekana? Beti bila bando Piga *149*10#

 

Wikiendi yako huenda ikawa poa sana wakatiukilishuhudia chama lako likitoa burudani ndani yauwanja, lakini ili buruadani yako ikamilike unahitaji kuwasehemu ya familia ya Meridianbet ambao wamekuwekeaodds za kutosha kwenye mechi zote. Manchester United atakuwa ugenini kukipiga na Wolves wakati huo Fulham watakiwasha na Southampton na Bourmouth niwatapelekeana moto na Crystal Palace usikose hiiNewcastle vs Leeds United.

 

Pep Guardiola ana kazi ya kufanya Jumamosi hii kaachwapointi 5 na Arsenal hivyo Manchester City watahitajikushinda dhidi ya Everton ili kupunguza pointiwalizozidiwa na vinara wa Ligi, wakati wakiwaza hilovinara wa Ligi Arsenal watashuka dimbani kukabiliana naBrighton nao watahitaji ushindi ili kujihakikishia nafasiya ubingwa.

 

Kule Laliga Barcelona vinara waLigi watakuwa napambano jingine uwanja wa Spotify Nou Camp dhidi yaEspanyol hii ni dabi ya Barcelona wenyewe wanaita The Derbi Barceloní

Mechi hii inaweza kutimiza ndoto yako kablam waka 2022 haujaisha, Beti na Meridianbet.

 

Unaufunguaje Mwaka 2023?

Ni Jumapili ya kwanza mwaka 2023, ni mwaka mpyahuja na mambo mapya pia, unajiuliza utauanzaje mwaka2023? Usiwaze tembelea Meridianbet ujionee ODDS zilivyo kubwa machaguo yameongezwa yote ni kukupa nafasi ya kufurahia mwaka mpya. Kupitia mechi hiziunaweza kuibuka Tajiri na ndoto zako kukamilikamapema sana.

 

Chelsea watasafiri kutoka London hadi West Bridgford, Nottinghamshire kwenye uwanja wa City Ground kukipiga na Nottingham Forest. Tottenham watakipiga naAston Villa hii nayo inakupatia odds bomba na kubwaZaidi.

 

Ligue 1 ya Ufaransa utaishuhudia PSG wakimenyana naLens, Monaco na Brest huku ukikamilisha ubashiri wakona mechi kati ya Lyon vs Clermont. Meridianbet niwakongwe wa hizi kazi onesha umwamba wakoujishindie mkwanja mrefu. Bashiri na Meridianbet.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents