Michezo

Ligi ya mabingwa barani Ulaya kuendelea leo FC Bayern Munich na Atletico Madrid

Michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya ambayo ipo katika hatua ya nusu fainali itaendelea tena hii leo kwa mchezo wa pili kati ya mabingwa wa soka nchini Ujerumani FC Bayern Munich dhidi ya Atletico Madrid kutoka nchini Hispania.

Bayern-Vs-Atletico-559x520

Atletico Madrid iliyoibuka na ushindi wa nyumbani wa bao 1-0 juma lilipita itakuwa na kibarua kigumu cha kukamilisha azima yake ya kutinga fainali kwa mara ya pili ndani ya miaka mitatu.

Bayern ili waingie fainal watakuwa na kibarua kigumu Zaidi cha kupindua matokeo ya mabao kwa kuwa wanahitajika kufunga mabao dhidi ya ukuta mgumu wa Atletico ya kocha Diego Simeone.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents