Mahojiano

Lukamba “Watanzania wagumu ku-Appreciate, hawataki kukubali Diamond mkubwa eti ananunua mashabiki, Kama ni rahisi na mwingine anunue” – Video

Lukamba "Watanzania wagumu ku-Appreciate, hawataki kukubali Diamond mkubwa eti ananunua mashabiki, Kama ni rahisi na mwingine anunue" - Video

Mpiga picha wa @diamondplatnumz @lukambaofficial amefunguka kuhusu taarifa zilizomshutumu boss wake Diamond kuwa alifanya mchezo mchafu katika safari ya kuelekea KIGOMA akidaiwa kutoa pesa kuwalipa watu wajipange barabarani ili kuwaonyesha Watanzania kuwa yeye anapendwa kiasi gani.


Lakini pia @lukambaofficial akieleza kuhusu kupanga kuwa nyumbani kwao ni UVINZA mkoani KIGOMA akiiga kutoka kwa DIAMOND na ikielezwa kuwa kwao sio KIGOMA. Mbali na hilo @lukambaofficial pia ameeleza kuhusu kuwa na mashabiki wengi kwa sasa kwani yeye ni Videographer Msanii.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents