Michezo

RASMI: Simon Msuva atua Benfica

Mshambuliaji wa Tanzania na klabu ya Difaa El-Jadidi ya nchini Morocco, Saimon Msuva amesaini Mkataba wa miaka mitatu (3) kuitumikia timu ya amethibitisha kuwa Msuva Benfica inayoshiriki ligi kuu nchini Ureno.

Licha ya kandarasi hiyo nyota huyo wa Taifa Stars atapelekwa kwa mkopo wa miezi sita katika klabu ya Panathiakos ya Ugiriki.

Msuva anatarajiwa kuondoka Difaa 15 Januari 2020 kwenda Ureno kisha kutimkia Ugiriki ambapo atarejea kwa waajiri wake hao wapya Julia 2020

Inadaiwa #Yangasc haitapata Mgao wowote kwa usajili huo wa Simano Msuva baada ya kukataa kipengele cha mgao kama atauzwa nje ya Difaa El Jadid nakutaka kulipwa Dola 100, 000 badala ya Dola 80, 000 ambayo Difaa walikusudia kuitoa kama kipengele hicho kingekuwepo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents