BurudaniHabari

Mahaba mazito ya Harmonize na kajala yarudi tena

Yule @harmonize_tz ambaye watu walimzoea kwenye kazi na kusapoti vijana na sio kulalamika kwenye mapenzi anaweza akawa ndo huyu ambaye watu wanamuona sasa kwani zile insha zake za Instagtam kumuomba msamaha @kajalafrida hatuzioni tena.

Tumeanza kumuona @harmonize_tz akiwa kwenye gari peke yake huku sauti ya mrembo ikisikika kwa mbali ikimrekodi naamini ushajua ni sauti ya nani.

Tayari ameachia ngoma mpya asubuhi ya leo akiongelea namna anavyojitoa kwa @kajalafrida hadi kurudiana naye.

Tutarajie kuona kazi zaidi na sio malalamiko ya mahusiano Instagram.

📸 via @harmonize_tz written by @el_mando_tz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents