BurudaniDiamond PlatnumzHabari

Mahaba ya Diamond kwa mtoto wake

Siku ya jana staa wa Bongo Fleva na C.E.O wa lebo ya WCB Naseeb Abdul alimaarufu @diamondplatnumz alisafiri mpaka jijini Nairobi nchini Kenya ingawa haikujulikana amefuata kitu gani.

Baada ya muda kidogo alionekana akiwa na na mtoto wake #NaseebJunior ambaye amezaa na Tanasha kutoka nchini humo.

Kupitia Insta stori yake ame share video kadhaa akicheza na mtoto wake. Mbali na hilo @tanashadonna pia ameshare kupitia insta stori yake.

📸 via @diamondplatnumz Written by @el_mando_tz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents