Michezo
Makocha wasio na vyeti kukutana na rungu 2020, Ammy Ninje awatangazia kiama ‘Kama huna vyeti hutofundisha ligi yoyote Tanzania'(+video)
Mkurugenzi wa ufundi wa shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF, Ammy Ninje ametangaza kuanzia mwakani kocha yoyote asiyekuwa na vyeti hatoruhusiwa kufundisha ligi kuu na nyenginezo hivyo wanayonafasi ya kujiunga na mafunzo yanayotolewa na makocha kutoka Southampton kupitia kampuni ya Sportpesa ili kujiongezea ujuzi.