Mama Dangote: Diamond na Ricardo Momo ni baba mmoja, mzee Abdul sio baba wa Diamond (+ Video)

Ricardo Momo ambaye siku za nyuma ilikuwa inajulikana kuwa ni kaka yake na Diamond lakini wengi walikuwa hawajui wana undugu kivipi leo jibu limepatikana.

Akiongea na Wasafi Fm Ricardo amethibitisha kuwa mwaka 1999 aliletewa Diamond na marehemu Baba yake yeye akiwa uwanjani na kuambiwa ni mdogo wake ingawa watu wengi hawajui.

Mbali na hilo Mama Dangote amepigiwa simu na kueleza kuwa Diamond na Ricardo Momo ni ndugu na wamechangia Baba Mzazi mzazi na kueleza kuwa Mzee Abdul sio Baba yake mzazi na Diamond bali ni baba yake mlezi.

Bofya hapa kutazama:

https://www.instagram.com/tv/CKEPe1Th6OM/

https://www.instagram.com/tv/CKEPe1Th6OM/

Related Articles

Back to top button
Close