Habari

Mama Salma Kikwete kwenye ‘Mwanamke Shujaa’ (+Video)

Wakina mama wajasiriamali ambao wanajihusisha na mama lishe, waokota makopo zaidi ya 300 wamepatiwa elimu kutoka Taasisi ya Ustawi wa Jamii, vitendea kazi ambavyo ni majiko ya gesi ya 15kg Oryx na vifaa vya meza na mabenchi kutoka coca cola ili kuwakwamua kiuchumu ni kuwarahisishia kazi zao za kila siku.

Mke wa Rais mstaafu, Jakaya Kikwete, Mama Salma ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), alikuwa mgeni rasmi kwenye tukio hilo lilopewa jina la ‘Mwanamke Shujaa’ alikabidhi vifaa hivyo kwa wakina mama hao baada ya kupatiwa mafunzo kutoka Chuo cha Ustawi wa Jamii.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents