Burudani

Man Fongo: Sipendi mahusiano ya kimapenzi na wanawake mastaa

Muimbaji wa muziki wa Singeli nchini anayefanya vizuri na wimbo wake wa “Hainaga Ushemeji”, Man Fongo ameeleza kuwa hapendi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanawake maarufu.

MAN-FONGO

Alisema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha The Base cha ITV.

“Katika ndoto zangu mimi,napenda kuwa na mtu wa kawaida ambaye sio superstar, ndio maana nikaamua kuoa mapema,” alisema Man Fongo alipoulizwa kama kuna msanii yeyote anayetamani kutoka naye kimapenzi.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents