Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Manara: Sikuoa mke nilioa shetani

Kupitia kipinndi cha Recap na Mando @el_mando_tz amezungumzia mahojiano ya Haji Manara na Wasafi media ambapo Manara mejibu juu ya kila alichozunngumzia mke wake kuhusu kuvunjika kwa ndoa yao.

Manara amejibu kuhusu kutokuwa na hela lakini baadhi ya makampuni aliyonayo ambayo anafannya nnayo kazi, na hii ni baada ya aliyekuwa mke wake kusema Manara hanna hela ana hela za kawaida sana.

Mbali na hilo Manara amedai kwamba hakuoa mke bali aliona shetani kwa namna mambo mbalimbali yaliyotokea hadi kupelekea kuachana kwao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents