Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Marioo ajiweka level za Wizkid na Davido, ntafanya show 02 Arena

Huenda @marioo_tz akawa msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kufanya show kwenye ukumbi mkubwa nchini Uingereza wa 02 Arena wenye uwezo wa kuingiza watu 20,000.

Kupitia Insta Story yake @marioo_tz ameahidi kuwa mwaka huu atafanya show kwenye ukumbi huo na @davido ndiye atakayefanikisha hilo.

Unahisi @marioo_tz ataandaa show yake au atapandishwa na @davido ??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents