Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu Amesema katika maisha ya mwanadamu hauwezi kukubalia na watu wote na hawawezi kukupinga watu ndiyo maisha akiwazungumzia baadhi ya Mashabiki ambao wanamsema vibaya baada ya timu ya Simba kufanya vibaya ndiyo kawaida.
Wanatimiza haki Yao ya msingi au wanafanya jambo linalowapa furaha kama wakimsema Mangungu wanapata furaha uwezi kuwazuia.