Burudani

Mapacha wa P-Square warushiana vijembe Instagram, huu ndio mwisho wao?

Baada ya Peter Okoye kuandika mfululizo wa tweets kueleza kuwa biashara ya familia ni ngumu, kaka yake na pacha wake Paul Okoye ametumia Instagram kueleza kusikitishwa na kitendo hicho.

P-Square

Awali Peter alidai kuwa wamesimama kufanya kazi na kaka yao, Jude Okoye anayeamini amegeuka kuwa kikwazo kwao. Akipost picha aliyoikata kumuondoa Peter na kubaki na kaka yake Jude, Paul ameandika:

This is where I belong and this is where I stand…….you do music in the studio, not on social media, you have family issues, you discuss that in close doors, not on social media ….. Family is family, blood is blood …. If you don’t do family business, then who am I to you?

Peter hakukaa kimya, amejibu kwa kuandika:

And cutting me off from a picture and replacing me with a studio set says it all my bro. All because you want to sound matured And letting the pple insult and Laff at me. Peter Okoye the social media rant. I wish you well in all you do my bro. God bless our hustle . #voice4thevoiceless.”

Hii si mara ya kwanza kundi hili la Nigeria limeingia kwenye migogoro ya familia. Mwaka na kitu uliopita, Paul na ndugu wengine walidaiwa kutokuwa na maelewano mazuri na mke wa Peter.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents