Burudani

Marekani: Polisi waeleza kuisambaratisha birthday party ya Chris Brown kisa msongamano mkubwa wa magari (+ Video)

naijua bithday party wewe ? magari zaidi ya 300 unahisi watu walioalikwa walikuwa wangapi ? unaambiwa msongamano wake kuelekea nyumbani kwa Breezy maeneo ya Tarzana California ulikuwa balaa ikabidi majirani na watu wanaoishi ameneo karibu na Breezy waite polisi.

Ilianza kwa sauti kubwa kwanza ya muziki usiku kucha na majirani waliamua kusogea nyumbani kwa jamaa ili kuomba sauti ipunguzwe walifanya hivyo shida ilikuja kwenye foleni ya magari nje ya nyumba na ndani hasa pembezoni mwa barabara.

Bofya hapa chini kutazama.

 

https://www.instagram.com/tv/COk3K1Xhq22/

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents