Burudani

Mariah Carey kuonekana kwenye msimu wa tatu wa ‘Empire’

Msanii wa muziki wa Pop Marekani, Mariah Carey amepata shavu la kuonekana kwenye show kubwa ya muziki na maisha ya ‘Empire’ kwenye msimu wa tatu.

mariah-carey-essence

Kupitia akaunti ya Twitter ya show hiyo ya Empire, wameandika, “@MariahCarey is joining #Empire for Season 3. Retweet and show some ! #TCA16.” Show hiyo ya ‘Empire’ inatarajiwa kuanza kuonekanakuanzia Septemba 21 mwaka huu.

Empire

Mastaa wengine wanaotarajiwa kuonekana kwenye msimu wa tatu was ho hiyo ni pamoja na Kid Cudi, Taye Diggs, Sierra McClain, French Montana na Birdman.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents