Michezo

Mashabiki wa Yanga walivyojaa makao makuu ya klabu hiyo Jangwani kununua jezi na tiketi (+ Video)

Hayo ni maneno ya mmoja wa shabiki wa Yanga akiahidi na hapa ni mbele ya makao makuu ya klabu hiyo Jangwani. Swali lilikuwa ni kwamba kwa Project hii kubwa ya Yanga endapo isipofanya kazi yaani kuchukua ubingwa mwakani unahidi nini …..?

Shabiki moja amejibu kuwa anaacha kushabikia Yanga kama ilivyokuwa mwanzo huku mwingine akiahidi ataamini uchawi upo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents