Washinda gari, pikipiki na jokofu kutoka 100 milioni vimba promotion ya TECNO (+Video)

Hatimaye msimu wa 100 Million Vimba Promotion umefikia tamati leo hii baada ya washindi kukabidhiwa zawadi zao kwenye ofisi za TECNO China Plaza Kariakoo jijini Dar Es Salaam. Sofia Suleman ndiye aliyejishindia zawadi kubwa ya gari jipya huku washindi wengine wakiondoka na Pikipiki, na jokofu.

Related Articles

Back to top button