Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Mashindano ya BSS yazinduliwa rasmi, huu ni msimu wa 13

Siku ya jana mashindano ya BONGO STAR SEARCH BSS hapa jijini Dar Es Salaam. Akiongea na wana habari muanzilishi wa mashindano hayo Madam Rita ameeleza namna walivyopitia changamoto mbalimbali.

Ameongeza kuwa huu ni msimu wa 13 wa BSS na ameeleza kuwa wana mambo makubwa sana ya msimu huu kwani kuna mambo mengi yamebadilika hasa majaji watakaosimamia shindano hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents