Habari

Meneja wa Muna afunguka mazito kuhusu mtoto Patrick, ashikwa kigugumizi kutaja baba halali wa mtoto (+video)

Meneja wa Mjasiriamali Muna ambaye pia ni mvalishaji wa marehemu mtoto Patrick, Nisham Simath amefunguka mengi usiyoyajua kuhusu maisha ya mtoto Patrick na mama yake Muna huku akitaja baadhi ya maradhi yaliyokuwa yakimsumbua mtoto huyo kipindi cha nyuma.

Akizungumza na Bongo5 ameeleza pia kuchanganywa na taarifa za msiba wa mtoto huyo kuwa mwili utapelekwa Kinondoni kwa Baba yake mzazi, Casto Dickson ambapo yeye amesema hamjui.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents