Habari

Meya wa Ubungo, Jacob atangaza rasmi kutogombea Udiwani “Nimetangaza kung’atuka”

Meya wa Manispaa ya Ubungo Boniface Jacob, ametangaza rasmi kutogombea tena Udiwani wa Kata ya Ubungo na kwamba anawashukuru wananchi wake kwa imani waliyompa kwa muda wote wa miaka 10.

Taarifa hiyo ameitoa leo Aprili 6, 2020, kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter.

“Nimetangaza kung’atuka katika Udiwani Kata ya Ubungo muda wa Madiwani utakapo isha, sitogombea tena udiwani uchaguzi ujao, miaka 10 ya utumishi wangu ni kwa sababu wana-Ubungo mlinikopesha imani, tumekuwa wote wakati wa shida na raha, mabonde na milima#ASANTEUBUNGO #NIMEWASIKIA” ameandika Meya Jacob.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents