Burudani

Mimi ni mtu mwenye aibu sana kiasi ambacho watu huhisi najisikia – B12

Mtangazaji mahiri wa kipindi cha XXL cha Clouds FM, Hamis Mandi aka B12 amesema watu wengi humfirikia tofauti na alivyo.

11875267_897046123708898_1580579379_n

B-Dozen amesema watu wengi huhisi ni mtu mwenye kujisikia na asiyependa kujichanganya na watu.

“Watu hunifikiria tofuti na nilivyo,” Dozen ameliambia gazeti la Mwananchi. “Mimi ni mtu mwenye aibu sana. Mara nyingi kama mtu simjui vizuri inanipa wakati mgumu kutoa ushirikiano kutokana na kuwa huwa najishtukia,” aliongeza.

“Sio kama najitenga ni udhaifu wangu unasababisha watu kunidhania ndivyo sivyo. Lakini kwa wanaonijua vizuri wanajua mimi ni mshikaji sana.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents