Burudani

Morgan Heritage kuachia wimbo wao ‘Just a Number’

 

Wasanii hao wameiambia Bongo5 kwamba video ya wimbo huo mpya utaachiwa January 27, 2023 katika mitandao yote ya kuuza nyimbo.

Amesema ukitaka kuwa wa kwanza kuiskiza, wimbo huo utapatikana kupitia bio ya @MorganHeritage kwenye mitandao zao za kijamii.

Wasanii hao wamewataka mashabiki kuwa mkao wa kula kwaajili ya zawadi mbalimbali kupitia project hiyo.

Link:

http://gleam.io/JrcoS/morgan-heritage-just-a-number-sweepstakes

Wafuatilie hapa

Tags for this project:

Twitter – @morganheritage @xtmnation @ctbcmusicgroup @onerpmafrc

IG – @morganheritage @xtm_nation @ctbcmusicgroup @onerpmafrcm

Written by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents