HabariMichezo

Kamata Mechi zenye Odds Bomba Meridianbet Wikiendi Hii

Kila mtu huwa na sehemu anayoipenda Zaidi ambayoinampatia furaha kila siku, Chimbo lako ni moja tu kamaukitaka kubeti wikiendi hii jiunge na familia ya Meridianbetushindi ni uhakika, kila mechi wanatoa Odds Bomba za Ushindi.

Wikiendi hii ni ya moto mno usipime mtu wangu, utaelewa nikwanini nakwambai ya moto ebu fikiria moto wa Liverpool pale Anfield mashabiki wakiimbiaYou will Never Walk Alone’ niwimbo unaowapa nguvu wachezaji wao, basi huo wimbo utasikikakwenye mechi kati ya Liverpool vs Chelsea, kuipa nguvu mechi hiiMeridianbet wameweka Odds Bomba kwa kila timu, Bonyeza hapakuona.

EPL itachezwa michezo mingine siku ya Jumamosi ni Leicester City vs Brighton (Odds zao LEI 3.33 vs BRI 2.11), huku pia Southampton watakuwa uwanjani kukipiga dhidi ya Aston Villa (Odds Bomba Soton 2.79 vs Villa 2.50 Ushindi kwa wote). Haitaishia hapo kuna West Ham vs Everton, Crystal Palace kutokakwenye hekalu ya kifalme watakuwa wenyeji wa Newcastle wenyemsimu mzuri wakiwa nafasi 4 kwenye msimamo wa Epl.

Wakati LaLiga ikiwa imefika patamu ni mechi nyingine tena kali Atletico Madrid watakuwa wenyeji wa Valladolid, Sevilla kukipigana Cardiz huku pia Vallecano itacheza na Real Sociedad zote zinaOdds bomba kubwa na machaguo kibao.

Jumapili bomba kabisa hii ni siku nzuri ya kutengeneza mkwanjakwa kuchagua odds bomba za Meridianbet, mechi ni nyingi sana nazote ni kali usikose kubashiri na Meridianbet wikiendi hii kwaniushindi upo kiganjani mwako.

Man City wataingia kwenye mechi hii dhidi ya Wolves katika dimbala Ethihad, wakiwa na kumbukumbu nzuri ya ushindi kwenyemchezo uliopita dhidi ya Tottebhan bao 4-2 huku Mahrez akizamakambani mara mbili, Julian Alvarez na Halaand pia waliisadia City kushinda. Je City kuondoka na alama zote 3 mbele ya Wolves? wekamajibu yako ya utabiri kwenye mkeka wako wa Meridianbet chimbola odds bomba.

Mechi kubwa ni vinara wa ligi kwa sasa Arsenal watakutana naMan Utd kwenye dimba la Emirates ushindi kwa washika mtutuuna odds ya 1.86 huku Utd ana 3.92

Wakiwa ndio vinara wa Ligi kwa sasa vijana wa Xavi FC Barcelona watashuka kwenye dimba la Nou Camp kukipiga na Getafe hukuwapinzani wao wa muda mrefu Real Madrid watakuwa ugeninidhidi ya Athletic Club.

Bundesliga mziki wake si unaujua huhitaji kusimuliwa sana sasasikia, Dortmund huwa anakaza sana watakutana na Augsburg, naBorussia Monchengladbach atakipiga na Bayer Leverkusen odds bomba na kubwa zipo kwaajili yako.

Juventus ana mziki mwingine wa kuhakikisha anaondoka na alama3 akiwa nyumbani kwake kucheza dhidi ya Atalanta, (Odds bombakwa Juve ushindi ni 2.11 na Atalanta ni 3.43) pia Spezia watawakaribisha vijana wa Jose Mourinho AC Roma. Bashirimubashara na Meridianbet.

N.B Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda mkwanjamrefu sana ukicheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni, michezo kama Aviator, TiTAN Dice, Roulette, Fruit Parts, Poker na Mingine mingi. Kingine kikubwa Ukipakua APP ya Meridianbet kisha ukajiunga kwenye APP na Tovutikisha ukaweka salio unapewa Bonasi ya Ukaribisho. Upewenini kingine, Jiunge na Meridianbet Ushindi Kiganjanimwako.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents