Burudani

Mpenzi wa Mr Nice ajifungua mtoto wa kike, Nice asema ndo mtoto wake wa mwisho

Mpenzi wa mwanzilishi wa style ya ‘Takeu’ Lucas Mkenda aka Mr Nice, amejifungua mtoto wa kike na kupewa jina la Nicole.

page

Mr Nice ambaye ni baba wa watoto wawili kwa sasa, Collin na Nicole, ameiambia Bongo5 kuwa Nicole ni mtoto wake wa mwisho ili aweze kuwatengezea maisha mazuri.

“Sasa hivi ni uzazi wa mpango, huyu kwangu ndo mtoto wa mwisho, kuzaa tu kama mbwa itakuwaje? mwishowe utashindwa kuwatengenezea maisha mazuri,” alisema Nice.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents