Burudani

Mrembo wa Ethiopia atwaa taji la Miss Africa USA 2014

Mrembo aliyezaliwa Ethiopia, Meron Wudneh ameshinda taji la Miss Africa USA 2014.

ww

Meron, aliyewashinda warembo wengine 20, akiwemo wa Tanzania, ni mrembo wa kwanza kutoka nchi hiyo kushinda tangu lianzishwe miaka tisa iliyopia.

2405818_FULL-LND

Mwaka jana taji hilo lilienda kwa Kathy Onmu kutoka Nigeria.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents