Msanii Rawbeena kutoka Kenya ana jambo lake na anaomba muda wenu (+Video)

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya Rawbeena ana jambo lake ambalo ni video ya ngoma yake mpya ya ‘Haijaja’ aliyomshirikisha Naiboi.

Ngoma hii imefanywa na Producer Kimambo na video ya ngoma hiyo kurekodiwa na Director FREERUNPRODUCTIONS, SOLID-PROKE & RAWW.

 

Bofya hapa chini kuangalia video nzima ya ngoma hiyo.

https://www.youtube.com/watch?v=cPHqrJPlhog&feature=youtu.be

Related Articles

Back to top button
Close