Msanii wa Baba levo Oti: Nataka nikamshtaki anilipe ushahidi ninao, ameniharibia maisha yangu (+ Video)

Aliyekuwa msanii wa @officialbabalevo anayeitwa @oti_tz_ ameeleza alivyotapeliwa na Baba levo kiasi cha milioni 12 na kumbwaga.

Ameniharibia maisha yangu Rayvanny alitaka kunisaidia akamshambulia na maneno mtandaoni sijaongea na Diamond.

Related Articles

Back to top button