Msiba Reading, Uingereza
Jumuiya Ya Watanzania Uingereza inasikitika kutangaza kifo cha mwanajumuiya wa Kitanzania Bi. Mwajuma Ibrahim Seif, kilichotokea jana katika hospitali ya Royal Berkshire Hospital, Reading
Jumuiya Ya Watanzania Uingereza inasikitika kutangaza kifo cha mwanajumuiya wa Kitanzania Bi. Mwajuma Ibrahim Seif, kilichotokea jana katika hospitali ya Royal Berkshire Hospital, Reading, Kifo cha Bi. Mwajuma kimesababishwa na ugonjwa wa Meningitis.
Bi. Mwajuma alizaliwa tarehe 11 Machi 1977 Dar-Es-Salaam, alikuwa akisoma katika chuo cha Lead Academy London ambapo alikuwa akisomea safunzo ya Biashara.
Ili kufanikisha kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Tanzania kwa ajili ya mazishi, Watanzania na marafiki wa Tanzania wanaombwa kutoa mchango wa hali na mali ili kufanikisha kusafirisha mwili wa Marehemu. Kuchanga kwako ndipo kufanikisha kusafirisha mwili wa marehemu.
Msiba upo Reading anuani : 12 Trevor House, Colliers Way, Tilehurst, Reading
Unaweza kutoa mchango wako kwa kuweka fedha katika akaunti:
Nationwide Bank
Mrs. H S Salum
Sort Code: 07-44-56
Account: 03020879
Pia unaweza kuwasiliana na Diego: +447733318081
Pia simu : +447733318081