Burudani
Mtu Chee (Stamina,Country Boy na Young Dee) waingia studio
Rappers wanaounda kundi la Mtu Chee, Stamina, Country Boy na Young Dee ameingia studio za Kiri Records kuandaa kazi mpya za kundi hilo.
Kupitia ukurasa wa Instagram, Stamina alipost picha na kuandika:
Current situation,,,,right now,,,ndani ya Kirirecordstz tupo na mtu mbayaaaa Rashdontz project mpyaaaaaaa ya MTU CHEE,MTU NOMA,MTU 3,yale majibu ya maswali yenu sasa yako tayari #we back #we ready # Youngdaresalama na Countryboytz.