BurudaniVideos

Muimbaji wa gospel, Angel Benard apata mtoto wa kiume

Muimbaji wa gospel, Angel Benard amejifungua mtoto wa kiume Alfajiri ya Jumatano hii.

12950252_455191381353066_341676399_n

Angel alifunga ndoa na Godsave Sakafu mwaka jana. Ametangaza habari hizo njema kupitia Twitter.

Tweet

Hivi karibuni Angel aliachia video ya wimbo wake ‘Salama’ uliopo kwenye album yake, New Day.

Pongezi kwa mama na baba wa mtoto huyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents