Burudani

Muimbaji wa Kenya, Avril afiwa na baba yake

Muimbaji wa Kenya, Avril, amefiwa na baba yake mzazi Jumanne ya wiki hii.

12825742_562842437217765_582643126_n

Tovuti ya Tuko imeripoti kuwa baba yake alifariki kwa ugonjwa wa moyo uliomsumbua kwa miaka mingi. Umedai kuwa alipata mshtuko wa moyo wiki chache zilizopita na kulazwa kwenye wodi ya wagonjwa mahututi. Aliruhusiwa baada ya kupata nafuu.

Avril amepost picha hiyo chini na kuandika: Rest Now..

12328083_1694237780851618_464460390_n

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents