Muziki
MUSIC AUDIO: Diamond Platnumz X Lava Lava X Mbosso – Jibebe
Wasanii watatu kutoka WCB, Diamond Platnumz, Lava Lava na Mbosso wameachia ngoma ya pamoja mkwaju unaitwa ‘Jibebe’ na umetengenezwa na Lizer.
Wasanii watatu kutoka WCB, Diamond Platnumz, Lava Lava na Mbosso wameachia ngoma ya pamoja mkwaju unaitwa ‘Jibebe’ na umetengenezwa na Lizer.
Wcb
Bonge la collabo
Hii ngoma ni more fire,naisikiliza na sijaichoka yaani muziki umepangwa. #254
Kaliiii kinomaaa
Gud
Mtatuua
tokea igunga mjini tupo pamoja sana
Wcb 4 life
Ni motoo
Mmmmmh mnamaanisha au mnajikaza tu kwa7bu kaimba diamond
Wcb
Wcb4life
%
Nyimbo mbaya
bonge la ngoma aisee
Qaliii
Wajibebe 2the fullest,chombo hicho nomaaaa
Me sjausikiliza ila najua tu ngoma ni moto ,jamaa ajawai niangusha
Simba
Kali Sana’ hiyoooo
Handsome guy
Chunga isiwachome Kali kama Simba
Kaliii
ngoma Kali Sana vijana wanafanya kazi