Muziki
MUSIC AUDIO: Hamisa Mobetto – Madam Hero
Mwanamitindo Hamisa Mobetto ameachia audio ya wimbo wake mpya wa Madam Hero ambao umetengenezwa na C9 na huu unakuwa ni wimbo wa pili kwake kuuachia kama msanii.
Mwanamitindo Hamisa Mobetto ameachia audio ya wimbo wake mpya wa Madam Hero ambao umetengenezwa na C9 na huu unakuwa ni wimbo wa pili kwake kuuachia kama msanii.
Yale aliyoyasema kiba kua kuna watu wanaharibu mziki ndio kama huyu amisa sasa jamani kama haujui kuimba si bora uwe video queen hivo hivo
Kujitahidi ujumbe murua labda tu sauti imepikwa Sana ……
Kajitahid
Umeimba vizur achana na maneno ya watu akuna mtu ambae asemwi mtu unanyimwa ugali maneno uwez nyimwa