Msanii chipukizi wa Bongo Fleva, @Founder_Tz1 amekuja na video ya ngoma yake mpya ya ‘NITATOKAJE’ na anakualika ukaitazame.
Bofya link kwenye bio yake kutazama kichupa hicho. Producer wa ngoma hii ni @Spadebeatz, Na video imeongozwa na Tolo Pro, Enjoy.