Msanii wa kike anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya Muziki wa Injili Tanzania, @rachelsammy_ ameachia video ya ngoma yake mpya ya ‘Mabaki’ na anakualika ubofye link hapa chini kuisikiliza.
Msanii huyo kwasasa yupo chini ya Lebo ya muziki ya @_pioneer.music.house , Na Producer wa ngoma hii ni @mixingdoctor.
Video ya ngoma hii imeongozwa na Director @jabulant_ chini ya studio za @jb_international_media_house, Enjoy.
Cc @prophetdavidrichard