Videos

Music Videos: Jay-Z awashtukiza mashabiki wake, Aachia ngoma tatu kutoka 4.44

Rapper Jay-Z amewashtukiza mashabiki wake duniani kote baada ya jana Alhamisi Desemba 21, 2017, kuachia video za ngoma tatu kutoka kwenye album yake ya 4.44. Video alizoziachia ni Legacy, Marcy Me na Smiles.

Tazama video ya wimbo wa Marcy Me hapa chini;

Tazama video ya wimbo wa Legacy hapa chini;

Tazama video ya wimbo wa Smile featuring Gloria Carter;

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents