Burudani
Mwakilishi pekee wa WCB katika jukwaa la Fiesta Dar alivyowasha moto (Video)
Msanii wa muziki Rich Mavoko ndiye aliyekuwa msanii pekee wa label ya WCB katika Tamasha kubwa la Fiesta mwaka 2018 tofauti na miaka iliyopita. Muimbaji huyo alipanda stejini hapo akiwa na dansa wake na kuimba nyimbo zaidi ya 4 pamoja na wimbo ‘Zilipendwa’ ambao unaliwakilisha kundi hilo.