Burudani

Yamoto Band waibuka katika Tamasha la Fiesta Dar (Video)

Baada ya kudaiwa Kundi la muziki la Yamoto Band kwamba limevunjika rasmi na kila msanii kuonekana kufanya kazi zake binafsi, wasanii wa kundi hilo siku ya jana katika tamasha la fiesta waliibuka na kufanya show ya pamoja na kuimba nyimbo kadhaa. Hata hivyo Maromboso ndiye msanii pekee wa kundi hilo aliyekosekana katika show hiyo iliyoleta msisimko wa aina yake.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents