Burudani

Utawapenda Rostam walivyokinukisha Fiesta Dar (Video)

Muungano wa wasanii wawili Stamina pamoja na Roma ‘Rostam’ wameendelea kufanya vizuri katika Tamasha la Fiesta baada ya usiku wa Jumamosi hii katika Viwanja Vya Leaders Club kuonyesha mautundu yao mbele ya umati wa maelfu ya watu waliojitokeza uwanjani hapo kushuhudia tamasha hilo la kihistoria nchini Tanzania.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents