Burudani

Mwakinyo amdhalilisha vibaya Harmonize (Video)

Kupitia Insta story ya Harmonize na Hassan Mwakinyo wameonekana kurushiana vijembe wakitaniana baada ya Harmonize kusema anataka pambano la ngumi na yeyote.

Harmonize amesema “dau lake ni dola laki moja ambayo ni zaidi ya Tsh Milioni 250”.

Mwakinyo akamjibu kwa kusema “Mmakonde ndugu yangu umechoka kuvaa shanga sasa unataka kumuacha mtoto wa mtu mjane”.

“Albadiri ya wasafi inakutafuna kenge wewe hel;a za muziki zimekushinda sasa ukaona utafute kiki kwa top gwiji la Taifa wewe kwangu ni kama yule mpaka pikko wa Njombe.”

Kutazama video kamili bonyeza link hapa chini:

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents